TIRTEC College

To grow an international portfolio in offering specialized Training in Railway Industry.
Karibu katika tovuti yetu ya chuo cha pekee cha teknolojia ya reli Tanzania.
Chuo chetu kina maeneo makuu mawili ambayo ni TIRTEC Tabora na TIRTEC Morogoro.
Kwa ustadi wa viwango vya juu na kwa mfumo mzuri wa kujifunza kwa vitendo, wanafunzi wa vyuo vyetu wameweza kukidhi uhitaji mkubwa wa wafanyakazi weredi wa teknolojia ya reli Tanzania.

Kifahamu Chuo Cha Teknolojia ya Reli Tanzania

  • Chuo cha reli kina usajili wa NECTA kwa namba SP 340-450.
  • Kina uzoefu wa miaka zaidi ya 70 katika kutoa taaluma ya teknolojia ya reli.
  • Chuo cha reli kinatoa mafunzo yenye uweredi mkubwa kwa nadharia na vitendo pia.

Ullamco laboris nisi ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis aute irure dolor in reprehenderit in voluptate